product_image_name-Oxford-Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha gredi ya Pili-1

Share this product

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha gredi ya Pili

KSh 323

Enjoy Unlimited Free Delivery with Jumia Prime

Delivery & Returns

Delivery Information

Delivered between Monday 24 Feb and Tuesday 25 Feb.See more

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.See more

Seller Information

Booklinker

Seller Score: 100%

Product details

Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi iliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Agiza mtandaoni kutoka Jumia Kenya na italetwa mkononi mwako mlangoni pako.

Specifications

Key Features

  • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtataa mpya 
  • Mifano halisi ya miktadha ambapo hutumika 
  • Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja 
  • Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi iii kuimarisha uwajibikaji. 

What’s in the box

1 Book

Specifications

  • SKU: OX767BM0HTLI2NAFAMZ
  • Main Material: -
  • Size (L x W x H cm): -

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

This product has no ratings yet.

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha gredi ya Pili

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha gredi ya Pili

KSh 323

Recently Viewed

See All