This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice

In stock
Easy Return, Quick Refund.Details
New Enterprise 001
New Seller
4 Followers
This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
Fani ya Fasihi Simulizi’ kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi.
Mahitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwa kwa kina.
Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa.
Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi.
Assumpta K Matei ni mwalimu mwenye tajriba pana katika ufundishaji wa Kiswahili. Pia ameandika vitabu kadha vya kufunzia lugha na fasihi ya Kiswahili

This product has no ratings yet.
/product/54/5894623/1.jpg?8408)
Subscribe to our newsletter
and be the first one to know about our amazing deals