This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice

In stock
Easy Return, Quick Refund.Details
New Enterprise 001
New Seller
4 Followers
This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vitivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtataa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevite Sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2, utapata:
mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala mpya.
mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuti za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini.
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2 kina Mwongozo wa Mwatimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.
Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vitivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtataa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevite Sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2, utapata:
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2 kina Mwongozo wa Mwatimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.
This product has no ratings yet.
/product/40/2994623/1.jpg?9010)