HomeBooks, Movies and MusicBestselling BooksKiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6
product_image_name-Generic-Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6-1

Share this product

Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6

KSh 2,800
KSh 3,65023%

In stock

+ shipping from KSh 90 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road
0 out of 5
(No ratings available)

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Pickup Station

Delivery Fees KSh 90
Ready for pickup between 02 January and 05 January if you place your order within the next 5hrs 38mins

Door Delivery

Delivery Fees KSh 200
Ready for delivery between 02 January and 05 January if you place your order within the next 5hrs 38mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.Details

Seller Information

New Enterprise 001

New Seller

4 Followers

Follow

Seller Performance

This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet

Product details

‘Kiswahili Dadisi’ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

Katika ‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 6, utapata:

Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.

Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.

Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.

Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.

Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.

Vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.

‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.

Specifications

Key Features

‘Kiswahili Dadisi’ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

Katika ‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 6, utapata:

  • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
  • Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
  • Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
  • Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
  • Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
  • Vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.

‘Kiswahili Dadisi’, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.

What’s in the box

Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6

Specifications

  • SKU: GE840BM62QN8MNAFAMZ
  • GTIN Barcode: 09780195749144
  • Weight (kg): 0.35kgs

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6

Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6

KSh 2,800
KSh 3,65023%
Questions about this product?

Recently Viewed

See All