This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice

In stock
Easy Return, Quick Refund.Details
New Enterprise 001
New Seller
4 Followers
This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
Kitabu hiki:
Kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtaala.
Kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.
Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.
Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
Kitabu hiki:
This product has no ratings yet.
/product/43/4835623/1.jpg?2598)