HomeBooks, Movies and MusicBestselling BooksKiswahili Dadisi Workbook Gredi 3
product_image_name-Generic-Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3 -1

Share this product

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3

KSh 2,800
KSh 3,80026%

In stock

+ shipping from KSh 90 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road
0 out of 5
(No ratings available)

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Pickup Station

Delivery Fees KSh 90
Ready for pickup between 02 January and 05 January if you place your order within the next 10hrs 42mins

Door Delivery

Delivery Fees KSh 200
Ready for delivery between 02 January and 05 January if you place your order within the next 10hrs 42mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.Details

Seller Information

New Enterprise 001

New Seller

4 Followers

Follow

Seller Performance

This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet

Product details

Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtaala wa Kiumilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa.

kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.

kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.

Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo.

Specifications

Key Features

Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtaala wa Kiumilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

  • kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa.
  • kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.
  • kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.
  • Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo.

What’s in the box

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3

Specifications

  • SKU: GE840BM509TUENAFAMZ
  • GTIN Barcode: 09789914447163
  • Weight (kg): 0.29kgs

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3

KSh 2,800
KSh 3,80026%
Questions about this product?

Recently Viewed

See All