This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
In stock
Easy Return, Quick Refund.Details
New Enterprise 001
New Seller
4 Followers
This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
‘Kiswahili Fasaha’ ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.
Mwongozo huu wa mwalimu una:
Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi,
Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa kukuzwa,
Mifano ya vifaa vya kutathmini na jinsi ya kuviandaa vifaa hivyo,
Mapendekezo kuhusu mbinu bora za ufunzaji na ujifunzaji,
Jinsi ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu,
Nyaraka za kitaaluma,
Maelekezo kuhusu jinsi ya kuwahusisha wanafunzi katika shughuli za kijamii.
‘Kiswahili Fasaha’ ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.
Mwongozo huu wa mwalimu una:
Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwalimu Gredi 8
This product has no ratings yet.
/product/24/2994623/1.jpg?2325)
Subscribe to our newsletter
and be the first one to know about our amazing deals