This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
In stock
Easy Return, Quick Refund.Details
New Enterprise 001
New Seller
4 Followers
This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.
Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 kina:
Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimkutadha
Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika
Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa
Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi
Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa
Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika
Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.
Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.
Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 kina:
Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 7
This product has no ratings yet.
/product/14/6894623/1.jpg?1917)