This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice

In stock
Easy Return, Quick Refund.Details
New Enterprise 001
New Seller
4 Followers
This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
KLB Visionary Stadi za Kudurusu Kiswahili ni kitabu kinachomwezesha mwanafunzi kujitayarisha kwa gjili ya tathmini endelevu na tathmni tamati. Kitabu hiki kinamfaa mwanafunzi wa Gredi ya Nne hadi Gredi ya Sita. Stadi za kudurusu zinamwezesha pia mwalimu kuwatayarisha wanafunzi wake kufanya tathmini endelevu na tathmini tamati ya Kitaifa. Maelezo ya kina kuhusu sehemu zinazotahiniwa na vielelezo vya tathmni vinampa mwanafunzi ujasiri wa kukabiliana na tahmini zote za
somo la Kiswahili.
Kitabu hiki:
-Ni cha wanafunzi wa Gredi ya Nne (4) hadi ya Sita (6).
-Kinawafaa walimu wa shule za msingi.
-Kinamwelekeza mwanafunzi namna ya kukuza stadi zote za lugha.
-Kina muhtasari wa mada zote ambazo zitatathminiwa kuanzia Gredi ya 4 hadi ya 6.
-Kina mifano halisi ya tathmini endelevu Gredi ya 4 hadi ya 6Â ya lliyokuzwa kiumilisi.
-Kina vielelezo vya tathmini tamati ya Kitaifa ya Gredi 4 hadi ya 6. ,
-Kina majibu ya maswali yote ya tathmini zilizotolewa.

KLB Visionary Stadi za Kudurusu Kiswahili GD4 ,5 na 6
This product has no ratings yet.
/product/95/1005623/1.jpg?0023)