This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice

9 units left
Easy Return, Quick Refund.Details
French Librairie
98%Seller Score
2 Followers
Shipping speed: Excellent
Quality Score: Excellent
Customer Rating: Excellent
Kamusi ya Karne ya 21 (Toleo la 5) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.

1 verified rating
This product has no reviews yet.
/product/18/2452952/1.jpg?5335)