This website uses cookies
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
In stock
Easy Return, Quick Refund.Details
Elong'o Bookstore
New Seller
14 Followers
This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
MAKUSUDI ya JANA, ni riwaya yenye mvuto wa aiba ya kusomeka tena na tena. Masimulizi yake yapo wazi tena niyakuakisika hasa ambavyo wahusika wake wamechukua nafasi kubwa kudhihirisha uhalisia wa hali ya maisha na matukio ya mambo katika jamii zetu. Maudhui ainati yameweza kuangaziwa kwa utaratibu,juhudi na udadisi mkubwa. Changamoto na Kero zinazotokea kwenye jamii pia zimejitokeza wazi katika masimulizi. Maudhui yaliolengwa Kwa Kuna ni kama vile; usahibu, ujirani, unasaba, utabaka, ulezi, umasikini, ukwasi, Imani na dini, kasumba za kibinadamu n.k
Upekee wa kitabu hiki ni kuwa mifumo mbalimbali ya uandishi imetumika kuwasilisha ujumbe na maidhui ainati. Mwandishi pia amedhihirisha ubunifu wa aina yake katika kazi ya utunzi wa riwaya yenyewe .
Azma kuu ni kujenga umilisi wa msomaji katika lugha ya kiswahili kwa kumwelekeza kwenye kanuni za tamathali,sarufi na mchakato mzima wa ubunifu.
This product has no ratings yet.
/product/06/0111001/1.jpg?5152)