HomeBooks, Movies and MusicFictionLiteratureMwongozo Wa Mapambazuko Ya Machweo - Na Hadithi Zingine
product_image_name-Jumia Books-Mwongozo Wa Mapambazuko Ya Machweo - Na Hadithi Zingine-1

Share this product

Jumia Books Mwongozo Wa Mapambazuko Ya Machweo - Na Hadithi Zingine

KSh 1,235
KSh 2,00038%

Few units left

+ shipping from KSh 90 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road
0 out of 5
(No ratings available)
Variation available

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Pickup Station

Delivery Fees KSh 90
Ready for pickup between 28 August and 30 August if you place your order within the next 21hrs 51mins

Door Delivery

Delivery Fees KSh 200
Ready for delivery between 28 August and 30 August if you place your order within the next 21hrs 51mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.Details

Seller Information

E-Book Zone

86%Seller Score

3 Followers

Follow

Seller Performance

Shipping speed: Good

Quality Score: Excellent

Customer Rating: Good

Product details

Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo na hadithi nyingine

Waswahili husema cha mwenzako kikinyolewa chako tia maji. Kanseli imebadili mitindo ya utahini nasi sharti tubadili namna ya kuwaelekeza watahiniwa ili chombo kisiende mrama. Maswali ya karne ya 21 yanadhihirisha utahini wa stadi za umahiri na umilisi wa kazi ya fasihi na si kuiga tu kikasuku.

Mitihani ya kitaifa siku hizi inaegemea maswali yanayohitaji uwazaji wa kina, umilisi wa fasihi, usanisi au mbinu telekezi katika nadharia ya Bloom. Maswali ya kale ya maudhui na wasifu wa wahusika hayajitokezi kwa wingi kwani mtihani unalenga ufahamu mpana wa vitushi na msuko na si ufahamu wa kijuu juu tu.

Nakala hii ni mwongozo adhimu na aula kwa mwanafunzi na mwalimu wa shule ya upili kwani inaweka parauwanja maswala mbalimbali kama vile; Umuhimu wa ploti, umuhimu wa mandhari, umuhimu wa usimulizi, mtindo na mwingiliano matini wa vipengele mbalimbali. Nasadiki na kuamini mambo yatatengemea baada ya kupata nakala hii kwani kinolewacho hupata.

Mwandishi ni Shehe Mutwiri mwanafunzi wa shahada ya uzamifu (PhD) na mwalimu mweledi wa Kiswahili anayefahamu mahitaji ya hadhira lengwa

Specifications

Key Features

  • Nakala hii ni mwongozo adhimu na aula kwa mwanafunzi na mwalimu wa shule ya upili kwani inaweka parauwanja maswala mbalimbali kama vile; Umuhimu wa ploti, umuhimu wa mandhari, umuhimu wa usimulizi, mtindo na mwingiliano matini wa vipengele mbalimbali. Nasadiki na kuamini mambo yatatengemea baada ya kupata nakala hii kwani kinolewacho hupata.
  • Fast Delivery 
  • New
  • Author - Shehe Mutwiri

What’s in the box

One book

Specifications

  • SKU: JU506BM67UITUNAFAMZ
  • Weight (kg): 0.7
  • Certifications: Eco Friendly
  • Main Material: Paper

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Jumia Books Mwongozo Wa Mapambazuko Ya Machweo - Na Hadithi Zingine

Jumia Books Mwongozo Wa Mapambazuko Ya Machweo - Na Hadithi Zingine

KSh 1,235
KSh 2,00038%
Questions about this product?

Recently Viewed

See All