Fani ya Fasihi Simulizikwa Gredi ya 7, 8 na 9 kimeandikwa kwa utaalamu mkubwa ili kufanikisha kikamilifu ufundishaji na ujifunzaji wa fasihi simulizi katika kiwango hiki. Kitabu hiki kimeshughulikia kwa kina na kwa njia ya wazi na nyepesi tanzu na vipera vya fasihi simulizi katika mtaala wa Gredi ya saba hadi Gredi ya Tisa.
Specifications
Key Features
Katika kitabu hiki, utapata:
Ufafanuzi wa kina wa dhana ya fasihi kwa jumla na hususan fasihi simulizi.
Uchanganuzi wa kina wa tanzu na vipera lengwa vya fasihi simulizi na mifano maridhawa.
Tunga za kuchanga, kusisimua na vilevile kurahisisha ujifunzaji.
Shughuli zenye kushirikisha kikamilifu katika ujifunzaji.
Tathmini endelevu za kumwezesha mwanafunzi kujitathmini na kutathminiwa na wenzake au na mwalimu.
Tathmini ya mwisho wa sura ili kumpa mwanafunzi picha ya jumla kuhusu kiwango chake cha ufahamu wa utanzu na kipera husika.
Mazoezi murua yanayochochea ujifunzaji huku yakipima ngazi zote za maarifa au utambuzi.
Tathmini tamati yenye mazoezi na maswali anuwai yatayomwezesha mwanafunzi kupima umilisi wake na kumtayarisha kwa Tathmini ya Mwisho wa Gredi ya Tisa- KJSEA.
Majibu kwa Tathmini tamati ili kumwelekeza mwanafunzi kubuni mikakati ya kujiboresha.
Specifications
SKU: JU506BM698J50NAFAMZ
GTIN Barcode: 09789914445510
Weight (kg): 0.01
Customer Feedback
This product has no ratings yet.
Jumia Books Oxford Fani ya Fasihi Simulizi Grade 7, 8 & 9