HomeBooks, Movies and MusicFictionLiteratureTumbo Lishiloshiba Na Hadithi Nyingine
product_image_name-Jumia Books-Tumbo Lishiloshiba Na Hadithi Nyingine-1

Share this product

Jumia Books Tumbo Lishiloshiba Na Hadithi Nyingine

KSh 1,235
KSh 2,00038%

In stock

+ shipping from KSh 90 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road
0 out of 5
(No ratings available)
Variation available

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Pickup Station

Delivery Fees KSh 90
Ready for pickup between 06 September and 09 September if you place your order within the next 23hrs 5mins

Door Delivery

Delivery Fees KSh 200
Ready for delivery between 06 September and 09 September if you place your order within the next 23hrs 5mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.Details

Seller Information

Universal Treasures

92%Seller Score

2 Followers

Follow

Seller Performance

Shipping speed: Good

Quality Score: Excellent

Product details

Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyngine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zilizoandikwa na waandishi waliobobea na wale wanaochipuka katika uandishi wa utanzu wa hadithi fupi. Hadithi katika mkusanyo huu zimeandikwa kwa ubunifa na kwa kuzingatia maswala ibuka katika jamii inayokwenda na utandawazi na usasaleo.

Mkusanyo huu unaangazia maudhui mbalimbali kama vile: siasa, dini, ulemavu, masuala ya kijinsia, elimu, ukware, ulaghai, uchumi, mazingira, umaskini, uongozi, ukabila, mapenzi, ndoa, usirikina miongoni mwa mengine. Masuala yaliyoshughulikiwa katika mkusanyo huu yataibua ilhamu ya msomaji, msomi, mtafiti na wanafunzi katika maisha yao.

Maudhui, mtindo, lugha na uhusika ni viungo vilivyosukwa kwa namna ya kipekee katika mkusanyo huu.

Wahariri - wakusanyaji wa mkusanyo huu ni waandishi na watunzi wa kazi za fasihi wenye tajiriba na uzoefu wa muda mrefu. Mafunzo ya hadithi katika mkusanyo huu yanawagusa watoto, watu wazima, vikongwe, wageni na wenyeji.

Specifications

Key Features

  • Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyngine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zilizoandikwa na waandishi waliobobea na wale wanaochipuka katika uandishi wa utanzu wa hadithi fupi.
  • Mafunzo ya hadithi katika mkusanyo huu yanawagusa watoto, watu wazima, vikongwe, wageni na wenyeji.
  • Fast Delivery
  • New

What’s in the box

One book

Specifications

  • SKU: JU506BM50NUXFNAFAMZ
  • Weight (kg): 0.7
  • Main Material: Paper

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Jumia Books Tumbo Lishiloshiba Na Hadithi Nyingine

Jumia Books Tumbo Lishiloshiba Na Hadithi Nyingine

KSh 1,235
KSh 2,00038%
Questions about this product?

Recently Viewed

See All