This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
Product details
Kichocheo cha Insha Grade 4 & 5 Kitabu Ni kimeandikwa kwa upekee na ubunifu wa hali ya juu sana. Lengo lake kuu hasa ni kutosheleza matakwa ya walimu na wana ambao watapata fursa ya kuhamia Lugha yotumiwa na mwandishi ni rahisi mno kueleweka na pia ya kuvutia kwa mwalimu na mwanafunziMambo kadhaa yameshughulikiwa katika kitabu hiki hasa yale ambayo yanatakikana kushughulikiwa katika mtaa wa shule za msingi sehemu ya kuandika Insha zote muhimu katika uandishi wa insha imerejelewa. Aidha, insha za viwango vya madarasa ya chini zimeshughulika kwa upekee katika kitabuToleo hili litamnufaisha mtahiniwa yeyote katika kiwango chochote katika shule za msingi .
Specifications
Key Features
Mwongozo wa Insha kwa shule ya Misingi
Maswali ya insha za kwa madarasa ya CBC
Lugha rahisi kuelewa na pia ya kubutia
Insha za viwango vya madarasa ya chini zimeshughulika kwa upekee katika kitabu