This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet
Product details
Kichocheo cha Kiswahili ni kitabu kilichoandikwa kwa upeleke na ubunifu wa Hali ya juu sana ili kumfaa na kutosheleza matakwa ya walimu na wanafunzi hasa mtahiniwa anayejiandaa kwa kuufanya mtihani wa KCPE. Lugha iliyotumiwa katika kitabu hiki ni kiwango cha wanafunzi kwa hivyo kitatumika kama nyenzo nzuri Sana darasani kwa kubukua na kudurusu katika maandalizi ya mtihani wowote. Sehemu zilizoshughulikiwa kwa mapana katika kitabu hiki amabazo ndizo uti wa mgongo wa somo la Kiswahili ni;
Sarufi
Kusikiliza na Kuongea
Msamiati
Kusoma
Aisha, kitabu kina mazoezi halahala ambayo yatamnoa mwanafunzi hata zaidi, pia kuna karatasi kumi na tano za mtihani amabazo zimetahiniwa kwa kiwango cha mtihani wa kitaifa. Majibu ya mazoezi halahala na karatasi za mitihani yametolewa pia ili kurahisisha Kazi ya mwalimu na mwanafunzi. Vitabu vingine; 1. Signal KCPE Revision Mathematics2. Signal KCPE Revision Science3. Signal Composition Guide 4. Signal KCPE Revision English 5. Signal KCPE Kichocheo cha Insha6. Signal KCPE Revision Social Studies7. Signal KCPE Revision CRE 8. Signal KCPE Revision IRE
Specifications
Key Features
Sarufi, Kusikiliza na Kuongea, Msamiati na Kusoma
Mazoezi halahala
Karatasi kumi na tano za mtihani amabazo zimetahiniwa kwa kiwango cha mtihani wa kitaifa
Majibu ya Mazoezi halahala na karatasi za mitihani.