This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
7 units left
Promotions
Delivery & Returns
Choose your location
Door Delivery
Pickup Station
Return Policy
Easy Return, Quick Refund.Details
Seller Information
Teknobyte Limited
98%Seller Score
Be the first to follow
Seller Performance
Order Fulfillment Rate: Excellent
Quality Score: Excellent
Product details
Madhumuni ya kuandika kitabu hiki ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Kitabu hiki kimeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya Kiswahili katika mtihani wa KCSE. Kitabu hiki kimejumuisha vipengele saba vya uhakiki wa fasihi andishi kama vile; Ploti ya tamthilia, dhamira ya mwandishi, mandhari na umuhimu wake, ufaafu wa anwani, maudhui, wahusika na uhusika na mbinu za lugha.
Maswali ya udurusu pia yamejumuisha katika kila mwisho wa onyesho ambayo yatamsaidia mwanafunzi kujinoa na kujipima ratili uelewa wake wa ploti. Maswali ya kiwango cha kitaifa pia yamejumuisha pamoja na majibu yake.
Masuala ibuka kama vile umuhimu wa wahusika, mbinu za kimtindo, aina za takriri, aina za taswira, na vipengele vingine.
Specifications
Key Features
- Mwandishi ni John W. Wanjala.
- Kwa hakika kitabu kinampa anayekisoma mwelekeo unaofaa.
- Ni rahisi kusoma na kuelewa.
- Vipengele saba vya uhakiki wa fasihi andishi zimejumuishwa.
- Maswali ya udurusu yatasaidia mwanafunzi kujipima ratili uelewa wake wa ploti.
What’s in the box
Specifications
- SKU: JU506BM0174SHNAFAMZ
- Model: N/A
- Production Country: Kenya
- Weight (kg): 0.3
- Main Material: Paper
- Shop Type: Jumia Mall
Customer Feedback
See AllVerified Ratings (3)
3 verified ratings
Product Reviews (2)
good book
Kimenisaidia
bembea ya maisha
Kitabu kizuri mno
/product/02/012417/1.jpg?9359)