Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii. Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu
Specifications
Key Features
- Usafi wa mwili - Usafi wa mazingira - Vyakula vya kiasilia - Shuleni
What’s in the box
1 BOOK
Specifications
SKU: QU701BM37FQ7TNAFAMZ
Weight (kg): 0.2
Shop Type: Jumia Mall
Customer Feedback
This product has no ratings yet.
Queenex Books Chakula cha Biko na Hadithi Nyingine 1C