product_image_name-Generic-Kamusi Ya Karne Ya 21 toleo la 4-1product_image_name-Generic-Kamusi Ya Karne Ya 21 toleo la 4-2

Share this product

Kamusi Ya Karne Ya 21 toleo la 4

KSh 1,299
KSh 1,50013%

9 units left

+ shipping from KSh 69 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road
Variation available

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Pickup Station

Delivery Fees KSh 69
Ready for pickup between 17 May & 18 May when you order within next 8hrs 40mins

Door Delivery

Delivery Fees KSh 179
Ready for delivery between 17 May & 18 May when you order within next 8hrs 40mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.Details

Seller Information

Maja stationery

66%Seller Score

Be the first to follow

Follow

Seller Performance

Order Fulfillment Rate: Excellent

Quality Score: Excellent

Customer Rating: Very Poor

Product details

Kmusi ya Karne ya 21(Toleo la 4) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.

Specifications

Key Features

  • Toleo la 4
  • Kiswahili sanifu
  • Ina maelezo ya kutosha
  • Imeidhinishwa kwa matumizi ya shule

What’s in the box

1 book

Specifications

  • SKU: GE840HA3SDFQLNAFAMZ
  • Weight (kg): 1
  • Main Material: paper

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Kamusi Ya Karne Ya 21 toleo la 4

Kamusi Ya Karne Ya 21 toleo la 4

KSh 1,299
KSh 1,50013%
Questions about this product?

Recently Viewed

See All