This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
Few units left
Promotions
Delivery & Returns
Choose your location
Pickup Station
Door Delivery
Return Policy
Easy Return, Quick Refund.Details
Seller Information
ELECTROSTORES
66%Seller Score
4 Followers
Seller Performance
Order Fulfillment Rate: Excellent
Quality Score: Very Poor
Customer Rating: Excellent
Product details
Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
- Karibu darasani
- Mimi na wenzangu
- Tarakimu
Specifications
Key Features
- Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu.
- Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. - Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
- Karibu darasani
- Mimi na wenzangu
- Tarakimu
Specifications
- SKU: JU506BM2S4LHPNAFAMZ
- Weight (kg): 0.23
- Main Material: PAPER
Customer Feedback
This product has no ratings yet.