product_image_name-Jumia Books-Yananiandama Na Hadithi Nyingine-1product_image_name-Jumia Books-Yananiandama Na Hadithi Nyingine-2

Share this product

Jumia Books Yananiandama Na Hadithi Nyingine

KSh 450
KSh 55018%

Few units left

+ shipping from KSh 102 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Door Delivery

Delivery KSh 134
Ready for delivery between 03 June & 05 June when you order within next 7hrs 35mins

Pickup Station

Delivery KSh 102
Ready for pickup between 03 June & 05 June when you order within next 7hrs 35mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.See more

Seller Information

Teknobyte Limited

New Seller

Be the first to follow

Follow

Seller Performance

This seller does not have enough history for us to evaluate his performance yet

Product details

Yananiandama na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazolenga hadhira ya wanafunzi, wasomaji wa kawaida na wataalamu wowote wale. Huu ni mkusanyiko unaowaleta pamoja waandishi walio na viwango vya juu vya ubunifu na ukwasi wa lugha. Hadithi zilizomo kwa ujumla zinagusa nafasi na nafsi ya msomaji. Bila shaka, msomaji yeyote wa mkusanyiko huu atagundua kuwa waandishi wake ni wenye uwezo mkubwa katika utunzi, fauka ya kuwa wengine wao wanalimbukia fasihi andishi. Naam, ulimbukeni wao umeleta sura ngeni katika ulimwengu wa fasihi andishi.

Jeff Mandila ni mmoja wa waandishi wanaoinukia kwa kasi mno. Ni mwandishi wa riwaya, tamthilia na hadithi fupi kando na utunzi wa mashairi. Alizaliwa karibu na mji wa Kitale mwaka wa 1985. Alijishindia tuzo ya Wahome Mutahi 2012 baada ya riwaya yake ya Sikitiko la Sambaya kuibuka ya kwanza.

Geoffrey Mung’ou ambaye pia ni mwandishi wa riwaya ya Mkakasi ni mhariri katika Shirika la Habari la Standard. Ana shahada katika kitivo cha Elimu (Kiswahili na Historia-Chuo Kikuu cha Kenyatta). Ametoa mchango mkubwa kuhusu Kiswahili katika vyombo vya habari, kwenye makongamano na shuleni. Aidha, amekuwa mwalimu wa somo la Kiswahili katika shule kadhaa za upili nchini Kenya. Mbali na kazi hizi za fasihi, ameibukia na vitabu adhimu kuhusu fani nyinginezo za lugha.

Specifications

Key Features

  • Ni rahisi kusoma na kuelewa.
  • Hadithi zilizomo kwa ujumla zinagusa nafasi na nafsi ya msomaji.
  • Waandishi wake ni wenye uwezo mkubwa katika utunzi.
  • Hadithi zenyewe ni za kusisimua.

What’s in the box

Yananiandama na Hadithi Nyingine 

Specifications

  • SKU: JU506BM29PJYHNAFAMZ
  • Model: N/A
  • Production Country: Kenya
  • Weight (kg): 0.3
  • Main Material: Paper
  • Shop Type: Jumia Mall

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Jumia Books Yananiandama Na Hadithi Nyingine

Jumia Books Yananiandama Na Hadithi Nyingine

KSh 450
KSh 55018%
Questions about this product?

Recently Viewed

See All