This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
Few units left
Promotions
Delivery & Returns
Choose your location
Pickup Station
Door Delivery
Return Policy
Easy Return, Quick Refund.Details
Seller Information
SESO SUPPLIES
98%Seller Score
Be the first to follow
Seller Performance
Order Fulfillment Rate: Excellent
Quality Score: Excellent
Product details
Tito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima.Tito aliogopa haya. Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu kali, lakini hakuwa na budi ila kujitwika ujasiri huu. Ilimbidi afanye lolote, ajikakamue, mradi tu ajiokoe! Ujasiri wa Tito ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Specifications
Key Features
- Tito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima.Tito aliogopa haya. Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu kali, lakini hakuwa na budi ila kujitwika ujasiri huu. Ilimbidi afanye lolote, ajikakamue, mradi tu ajiokoe! Ujasiri wa Tito ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
What’s in the box
1 BOOK
Specifications
- SKU: OX767BM1O2EYHNAFAMZ
- Weight (kg): 0.2
- Shop Type: Jumia Mall
Customer Feedback
This product has no ratings yet.