product_image_name-Storymoja-Barua Ya Mwisho Na Hadithi Nyingine-1

Share this product

Storymoja Barua Ya Mwisho Na Hadithi Nyingine

KSh 600

In stock

+ shipping from KSh 69 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Pickup Station

Delivery Fees KSh 69
Ready for pickup between 30 April & 01 May when you order within next 43mins

Door Delivery

Delivery Fees KSh 129
Ready for delivery between 30 April & 01 May when you order within next 43mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.Details

Seller Information

Storymoja

50%Seller Score

14 Followers

Follow

Seller Performance

Order Fulfillment Rate: Very Poor

Quality Score: Excellent

Product details

Barua ya Mwisho na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zilizoandikwa na waandishi wenye uzoefu mpana wa kuandika kazi za fasihi. Hadithi zilizomo zinaangazia masuala yanayochora taswira kamili ya tajriba ya mwanadamu wa kisasa katika mazingira anuwai. 

Matukio yamesukwa kwa njia inayoakisi uhalisia wa maisha ya kila siku ya wanajamii na kuchangia kukemea maovu na kukuza matendo ya kiuadilifu katika jamii kupitia maudhui tofauti tofauti kama vile elimu, siasa, teknologia na madhara yake, ufisadi, ulanguzi wa dawa za kulevya, matatizo ya kiuchumi, mimba na ndoa za mapema, miongoni mwa mengine.

Kunao pia uanuwai na ufaafu wa matumizi ya vipengele mbalimbali vya fani kama vile muundo, mtindo, lugha na wahusika katika mkusanyiko huu. Huu ni mchango mkubwa katika fasihi ya Kiswahili kwenye Karne ya Ishirini na Moja.

Specifications

Key Features

Matukio yamesukwa kwa njia inayoakisi uhalisia wa maisha ya kila siku ya wanajamii na kuchangia kukemea maovu na kukuza matendo ya kiuadilifu katika jamii kupitia maudhui tofauti tofauti kama vile:
  •  Elimu, 
  • Siasa, 
  • Teknologia na madhara yake, 
  • Ufisadi, ulanguzi wa dawa za kulevya
  • Matatizo ya kiuchumi
  • Mimba na ndoa za mapema

Specifications

  • SKU: ST991BM0J3Z7ONAFAMZ
  • Model: Storybook
  • Production Country: Kenya
  • Weight (kg): 0.05
  • Main Material: Paper
  • Shop Type: Jumia Mall

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Storymoja Barua Ya Mwisho Na Hadithi Nyingine

Storymoja Barua Ya Mwisho Na Hadithi Nyingine

KSh 600
Questions about this product?

Recently Viewed

See All