This website uses cookies. For further information on how we use cookies you can read our Privacy and Cookie notice
HomeBooks, Movies and MusicEducation & LearningChildren's EducationCheche Za Kiswahili Kitabu Zha Mwanafunzi Gredi Ya 7 By Storymoja
Brand: Storymoja | Similar products from Storymoja
KSh 700
In stock
+ shipping from KSh 69 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road
0 out of 5
(No ratings available)Promotions
Delivery & Returns
Choose your location
Pickup Station
Delivery Fees KSh 69
Ready for pickup between 08 May & 09 May when you order within next 5hrs 18mins
Door Delivery
Delivery Fees KSh 129
Ready for delivery between 08 May & 09 May when you order within next 5hrs 18mins
Return Policy
Easy Return, Quick Refund.Details
Seller Information
Storymoja
50%Seller Score
15 Followers
Seller Performance
Order Fulfillment Rate: Very Poor
Quality Score: Excellent
Product details
Cheche za Kiswahili kwa Gredi ya 7: Kitabu cha Mwanafunzi ni kitabu kilichoandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye Mtaala wa Kiumilisi (CBC) ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji.
Manufaa ya kitabu hiki
Manufaa ya kitabu hiki
- Vipengele vyote vya mada mbalimbali kwa mujibu wa mtaala mpya.
- Ujumuishaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji wa lugha.
- Matini ya kimuhtasari kuhusu kila mada ili kumwezesha mwanafunzi kuelewa upesi dhana anazojifunza.
- Mapendekezo ya nyenzo mbadala zinazoweza kufaraguliwa kwa vifaa vinavyopatikana katika mazingira ya mwanafunzi.
- Shughuli za nyumbani zitakazosaidia kujenga mahusiano ya kiushirikiano kati ya shule, familia na jamii kwa jumla.
- Tathmini za kibinafsi baada ya kila mada ili kuwasaidia wanafunzi kupima ujifunzaji wao wa maarifa, ujuzi namaadili.
- Shughuli tagusani zinazowashirikisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu.
- Masuala mtambuko yamejumuishwa katika shughuli za ujifunzaji.
Specifications
Key Features

- SKU: ST991BM36FMY5NAFAMZ
- Model: Revision Book
- Production Country: Kenya
- Weight (kg): 0.5
- Main Material: Paper
- Shop Type: Jumia Mall
Customer Feedback
This product has no ratings yet.
Storymoja Cheche Za Kiswahili Kitabu Zha Mwanafunzi Gredi Ya 7 By Storymoja
KSh 700
Questions about this product?