product_image_name-Storymoja-Mkaidi- Kitabu Cha Hadithi (Storymoja Publishers)-1

Share this product

Storymoja Mkaidi- Kitabu Cha Hadithi (Storymoja Publishers)

KSh 500

In stock

+ shipping from KSh 69 to CBD - UON/Globe/Koja/River Road

Promotions

Delivery & Returns

Choose your location

Pickup Station

Delivery Fees KSh 69
Ready for pickup between 09 May & 10 May when you order within next 21hrs 55mins

Door Delivery

Delivery Fees KSh 129
Ready for delivery between 09 May & 10 May when you order within next 21hrs 55mins

Return Policy

Easy Return, Quick Refund.Details

Seller Information

Storymoja

50%Seller Score

15 Followers

Follow

Seller Performance

Order Fulfillment Rate: Very Poor

Quality Score: Excellent

Product details

Vumilia amepata fursa ya kujiunga na chuo kikuu baada ya kufua dafu katika mtihani. Baba yake, Bwana Hamaki, anataka asomee kozi ya udaktari. Baba anaamini kuwa madaktari wana mishahara minono na hadhi kubwa katika jamii. Vumilia naye ana mtazamo tofauti kuhusu kozi anayotaka kusoma. Anataka kozi inayohusiana na sanaa.


Baada ya vuta n'kuvute kwa muda, Vumilia anajikuta katika njiapanda kuhusu iwapo atafuata matakwa ya baba ama ndoto zake mwenyewe. Je, Vumilia akimkaidi baba yake na kufuata ndoto zake, atakuwa na uhusiano gani kati yake na familia yake? Ni nani atakayemlipia Vumilia karo?

Specifications

Key Features

  • Vumilia amepata fursa ya kujiunga na chuo kikuu baada ya kufua dafu katika mtihani. 
  • Baba yake, Bwana Hamaki, anataka asomee kozi ya udaktari.
  •  Baba anaamini kuwa madaktari wana mishahara minono na hadhi kubwa katika jamii.
  •  Vumilia naye ana mtazamo tofauti kuhusu kozi anayotaka kusoma.
  •  Anataka kozi inayohusiana na sanaa.
  • Baada ya vuta n'kuvute kwa muda, Vumilia anajikuta katika njiapanda kuhusu iwapo atafuata matakwa ya baba ama ndoto zake mwenyewe. 
  • Je, Vumilia akimkaidi baba yake na kufuata ndoto zake, atakuwa na uhusiano gani kati yake na familia yake? 
  • Ni nani atakayemlipia Vumilia karo?

Specifications

  • SKU: ST991BM2SBAHYNAFAMZ
  • Model: Storybook
  • Production Country: Kenya
  • Weight (kg): 0.05
  • Main Material: Paper

Customer Feedback

This product has no ratings yet.

Storymoja Mkaidi- Kitabu Cha Hadithi (Storymoja Publishers)

Storymoja Mkaidi- Kitabu Cha Hadithi (Storymoja Publishers)

KSh 500
Questions about this product?

Recently Viewed

See All